TANGAZO

TANGAZO

NAIBU WAZIRI MKUU AZURU KABURI LA ABEID KARUME


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amezuru katika Kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Abeid Amani Karume lililopo Kisiwandui Zanzibar.

Biteko yuko Zanzibar kwa ziara ya kikazi ambapo pia amepanga kukutana na Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi - CCM.

Post a Comment

0 Comments