TANGAZO

TANGAZO

IDARA YA SIASA NA UHUSIANO WA KIMATAIFA YAWASILISHA MAPENDEKOZO YA MAREKEBISHO YA SERA YA MAMBO YA NJE

Katibu wa NEC Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ndg. Rabia Abdalla Hamid, akitoa mchango kwenye kongamano kuhusu mapendekezo ya marekebisho ya sera ya mambo ya nje ya mwaka 2001, leo Januari 9, 2024, katika ukumbi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC).



Post a Comment

0 Comments