Mkuu wa Wilaya ya
Rorya Juma Chikoka, amefanya ziara na kukagua wanafunzi walioripoti kwa shule
za awali, msingi na Sekondari.
Chikoka amesisitiza
kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ametoa pesa
nyingi kwa ajili ya ujenzi wa madarasa na Kusimamia kwa vitendo sera ya elimu
bure hivyo wanafunzi hawana sababu ya kuacha kusoma na mzazi au mlezi atakaemnyima
haki mtoto ya kupata elimu kwa kuwazuia watoto kwenda shule.
0 Comments