TANGAZO

TANGAZO

WAJUMBE WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA, IMEPOKEA NA KUJADILI TAARIFA ZA WAWAKILISHI WA TANZANIA KATIKA CHAMA CHA MABUNGE YA JUMUIYA YA MADOLA



Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakiongozwa na Mwenyekiti, Mhe. Vita Kawawa wamepokea na kujadili Taarifa za Wawakilishi wa Tanzania katika Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola (Commonwealth Parliamentary Association - CPA); na Jukwaa la Maziwa Makuu (Great Lakes) katika kikao kilichofanyika tarehe 14 Januari, 2025 Bungeni Jijini Dodoma.
















Post a Comment

0 Comments