TANGAZO

TANGAZO

TANZANIA YAFUZU WAFCON.




 Timu ya Wanawake ya Tanzania, Twiga Stars, imefuzu fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2024.


 Hii ni baada ya kuifunga Timu ya Wanawake ya Togo jumla ya magoli 3-2.


Twiga Stars ilishinda magoli 3-0 katika mchezo wa kwanza uliofanyika hapa Dar es Salaam na leo Togo imeshinda magoli 2-0 katika uwanja wao wa nyumbani na kuifanya Tanzania fuzu kwa kuwa na magoli mengi.

Post a Comment

0 Comments