TANGAZO

TANGAZO

FANYA HIV ILI BATTERY YA GARI YAKO IDUMU

 


➡️Battery ni kifaa mhimu sana kwenye engine..hasa hizi za automatic...

Na Khalifa Hassan Simba 

Chuo cha Udereva ZITCO


➡️Ili kuepuka kupoteza pesa za  kununua battery mara kwa mara unatakiwa kufanya haya...


1=unapopack gari hakikisha umezima kila kitu na ufunge milango vizuri....


2=Ukitaka kumsaidia mwenzako kubust njia nzuri unatakiwa kufungua battery yako.. na ufunge kwake..au tumia waya kubust Lakin gari yako iwe imezimwa..


3=Ukipaki gari zaidi ya week hakikisha unafungua teminal..


4=Epuka kupandisha vioo ua kusikiliza radio gari ikiwa imezimwa


5=Hakikisha terminal ya postev imefunikwa kwa ajiri ya kuzuia short...


Note:


Life span ya battery nzuri ni miaka 2 hadi 3 endapo utaitunza vizuri....


Je',,, una shida ya battery kwenye gari yako?...


Yaani mpaka ukienda kuiwasha unajuiliza sijui itawaka😂😂😂


UKWELI NI KWAMBA


➡️utakosa Amani endapo gari yako haiwaki mpaka ufanyiwe busting....


  Ongea na fundi simba...nione jinsi ya kukusaidia....


0767040022


MWISHO.

Post a Comment

0 Comments