TANGAZO

TANGAZO

Video: TAWA YATINGA MOROGORO KWA KISHINDO NA TUZO ZA WORLD TRAVEL 2026

 

MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imewasili rasmi mkoani Morogoro Septemba 2, 2026 ikiwa na tuzo mbili za World Travel Awards 2026 zilizotwaliwa na Hifadhi zake za Selous na Mpanga-Kipengere, siku chache baada ya kutangazwa washindi katika hafla ya tuzo hizo iliyofanyika Agosti 28, 2026, Zanzibar.




Post a Comment

0 Comments