TANGAZO

TANGAZO

MJASIRI HAACHI ASILI, HII HAPA POMBE YA MITISHAMBA KUTOKA SBL 'ORIJINO MITISHAMBA'


Dar es Salaam | 31 Julai 2026


Kiasili Watanzania tumelelewa na mitishamba, na imekuwa sehemu ya maisha yetu kwa muda mrefu sana.

Na sasa mitishamba imehamia Kiwandani!

Swali linaweza kuwa, kivipi?

Jibu ni - kuanzia mizizi, shina, majani na hata matunda ya miti hii vimekuwa vikihusishwa na hadithi, desturi na simulizi zilizopasishwa kutoka vizazi na vizazi.

Swali tena: Je, inawezekana kuona mitishamba katika mfumo wa kinywaji cha kisasa?

Jibu ni rahiiisiii.

Serengeti Breweries Limited imezindua ORIJIN.

Kinywaji chenye kilevi kinachotokana na mitishamba ya Kiafrika. Herbs, roots na fruits ambazo zimekuwa zikijulikana katika tamaduni mbalimbali za bara hili.

ORIJIN haikuja ghafla.

Kampeni ya 'ORIJINO MITISHAMBA' ilianzisha zogo mitandaoni, kila Mtanzania alishiriki hadithi hii.

Creators na majukwaa mbalimbali yalijadili nafasi ya mitishamba katika maisha ya kila siku.

Watu walibishana, walishangaa, na wakakubaliana.

Kumbe jambo lilikuwa kubwaa na hakuna aliyefahamu

Hii kitu bwana hatari 'ORIJIN' inaleta mchanganyiko wa uchungu na utamu.

Ladha inayotokana na viungo vya kiasili, lakini imetengenezwa kwa viwango vya kisasa.

Inapatikana katika aina mbili:-

👉RTD na Bitters.

Kila mmoja anaweza kuchagua namna anavyopendelea kufurahia.

Wakazi wa Dar es Salaam, katika uzinduzi uliifanyika jijini humo, tayari wameionja ORIJIN kwa mara ya kwanza.

Media, creators, washirika wa sekta na wageni walioshiriki wameifahamu bidhaa hii.

Wengi walisema ladha yake inawakumbusha kitu cha asilia na kitamaduni.

Lakini katika mfumo wa kisasa.

Wengine walishangazwa na ujasiri wa SBL kuleta kinywaji kinachounganisha historia na ubora.


Kwa SBL, ORIJIN si pombe tu, ni heshima kwa mitishamba ya Kiafrika.


Ni njia ya kuunganisha vizazi kupitia ladha na simulizi.


Wiki kadhaa za mazungumzo zimefikia kilele. Siri ya ORIJINO MITISHAMBA imefichuliwa.

Watanzania wanaweza kuonja ladha hii ya asili wenyewe.

Haina mning'inio (Hang-over).

Swali sasa - Na wewe utaionja?






Post a Comment

0 Comments